kamigua kaya yangu, kijiji cha burudani,
walipo wazazi wangu,walo nileta nchini,
aidha rafiki zangu,wanaonipa huzuni,
natunga shairi langu,kusudi kukuzaini,
wanarika wenzangu, Matanga bini Aroni,
huleta faraja kwangu, kwa weusi wa matani,
Eni Mo rafiki yangu, jenerali vilabuni,
natunga shairi langu, kusudi kukuzaini,
Namani rafiki yangu, jenerali wa madeni,
huridhisha moyo wangu, tukitamba kandandani,
Junia kijana wangu, mwenye mzaha kazini,
natunga shairi langu, kusudi kukuzaini,
Muthomi rafiki yangu, kiongozi wa kuzini,
Mugendi rafiki yangu, hunishika kwa betini,
natoa kauli yangu, tafuta wako mwendani,
natunga shairi langu, kusudi kukuzaini,
Gashule jirani yangu, jenerali wa kampeni,
nimetumwa na babangu, nikwambie shukurani,
Sitaneli kaka yangu, usijifiche nyumbani,
natunga shairi langu, kusudi kukuzaini,
Kapapi rafiki yangu, ninasema samahani,
tii ushauri wangu, usikwame gerezani,
Heroe rafiki yangu, toa rasita kichwani,
natunga shairi langu, kusudi kukuzaini,
Wambua rafiki yangu, wazazi wako kotini,
nakoma kauli yangu, una bibi samahani,
Mwaniki Kigombe wangu, vua nguo za shuleni,
natunga shairi langu, kusudi kukuzaini,
Kinemwa rafiki yangu, usichane hadharani,
changamsha moyo wangu, kwa vicheko na utani,
Kuga ushauri wangu, jichunge barabarani,
natunga shairi langu, kusudi kukuzaini,
Fesitasi wewe wangu, tukiwa biasharani,
unasinya tumbo langu, kwa vidonge sahanini,
Changi ushauri wangu, wachanga usitamani,
natunga shairi langu, kusudi kukuzaini,
Wachira rafiki yangu, na maringo uyahuni,
Keni Nyaga swali langu, kunywa dawa ni kwa nini
Beniso rafiki yangu, wenzako usiwahuni,
natunga shairi langu, kusudi kukuzaini,
nakoma usemi wangu, nawaaga kwaherini,
ninazama kwenye wingu, nitachomoza jioni,
Senego rafiki yangu, mama zako usizini,
natunga shairi langu, kusudi kukuzaini,
SHUKURANI.
Marc-Karash.

No comments:
Post a Comment